// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); UGANDA WALIVYOTWAA TAJI LA PILI MFULULIZO, ZANZIBAR WALIVYOIADHIRI BARA KAMPALA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE UGANDA WALIVYOTWAA TAJI LA PILI MFULULIZO, ZANZIBAR WALIVYOIADHIRI BARA KAMPALA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, December 09, 2012

    UGANDA WALIVYOTWAA TAJI LA PILI MFULULIZO, ZANZIBAR WALIVYOIADHIRI BARA KAMPALA

    Nahodha wa Uganda, Hassan Wasswa akiwa amenyanyua Kombe la Ubingwa wa CECAFA Tusker Challenge 2012 baada ya kuifunga Kenya kwenye Uwanja wa Mandela mjini Kampala, Uganda usiku wa leo mabao 2-1 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo.
    Wachezaji wa Uganda wakishangilia kutwaa Kombe la Ubingwa wa CECAFA Tusker Challenge 2012 baada ya kuifunga Kenya kwenye Uwanja wa Mandela mjini Kampala, Uganda usiku wa leo mabao 2-1 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo.

    Wachezaji wa Zanzibar wakishangilia baada ya kuifunga Bara kwa penalty


    Robert ssentongo akimtoka Mieno
    Hassan Wasswa akuwatoka wachezaji wa Kenya

    Mshambuliaji wa Bara, John Bocco akiwatoka mabeki wa Zanzibar katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole Kampala leo. Zanzibar ilishinda kwa penalti 6-5, kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90,  Bara wakitangulia kupata bao kupitia kwa Mwinyi Kazimoto dakika ya 10 kabla ya Abdallah Othman Ali kuisawazishia Zanzibar dakika ya 85.

    Beki wa Zanzibar, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akimdhibiti mshambuliaji wa Zanzibar, John Bocco

    Kiungo wa Bara, Athumani Iddi ‘Chuji’ akimtoka beki wa Zanzibar, Sabri Ally Makame
    Kocha Mkuu wa Zanzibar, Salum Nassor Bausi akiwa amebebwa na wachezaji wake kwa furaha


    Wachezaji wa Zanzibar wakishangilia baada ya mechi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: UGANDA WALIVYOTWAA TAJI LA PILI MFULULIZO, ZANZIBAR WALIVYOIADHIRI BARA KAMPALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top