• HABARI MPYA

    Friday, September 05, 2014

    SUAREZ ATUPIA MBILI BARCELONA IKIWACHAPA 5-1 WADOGO ZAO


    Mkali wa mabao: Mshambuliaji Luis Suarez akiichezea Barcelona A dhidi ya Barcelona B katika mchezo wa kirafiki uliodumu kwa dakika 60 ambao alifunga mabao mawili kwenye ushindi wa 5-1. Suarez anatumikia adhabu hadi Oktoba baada ya kumng'ata beki wa Italia Giorgio Chiellini katika Kombe la Dunia Juni mwaka huu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUAREZ ATUPIA MBILI BARCELONA IKIWACHAPA 5-1 WADOGO ZAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top