• HABARI MPYA

    Saturday, September 06, 2014

    MAKALI YA SIMBA SC, MWENYEKITI AZAM FC ASHIKA KICHWA TAIFA

    Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad kulia akiwa ameshika kichwa huku akifuatilia mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC na Gor Mahia ya Kenya jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda mabao 3-0. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, wote wapinzani wa Simba SC katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Picha ya chini Wawili hao wakiwa na makocha wa Yanga SC, Marcio Maximo na Msaidizi wake, Leonardo Leova.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAKALI YA SIMBA SC, MWENYEKITI AZAM FC ASHIKA KICHWA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top