• HABARI MPYA

    Wednesday, September 10, 2014

    GARETH BALE APIGA ZOTE MBILI WALES IKIUA 2-1 KUFUZU EURO, LAKINI ALIA NA UWANJA MBOVU

    Mshambuliaji wa Wales, Gareth Bale akichezewa rafu na mabeki wa Andorra katika mchezo wa kufuzu Euro 2016 jana Uwanja wa Camp d'Esports mjini Catalonia. Gareth Bale aliyeulalamikia Uwanja huo mbovu wa nyasi bandia, alifunga mabao yote ya Wales dakika za 22 na 81 katika ushindi wa 2-1, huku bao la wenyeji likifungwa na Ildefons Lima kwa penalti dakika ya sita, hilo likiwa bao la kwanza la Andorra katika mechi za mashindano tangu Septemba mwaka 2010.   

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GARETH BALE APIGA ZOTE MBILI WALES IKIUA 2-1 KUFUZU EURO, LAKINI ALIA NA UWANJA MBOVU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top