Mshambuliaji Sadio Mane akiruka juu kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Liverpool dakika ya 10 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City Uwanja wa King Power. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Roberto Firmino dakika ya 45, wakati la Leicester limefungwa na Rachid Ghezzal dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment