• HABARI MPYA

    Wednesday, September 10, 2014

    UHOLANZI YAPIGWA 2-1 KUFUZU EURO 2016

    JAMHURI ya Czech imeifunga Uholanzi mabao 2-1katika mchezo wa kufuzu Euro 2016 usiku wa kuamkia leo mjini Prague.
    Borek Dockal aliwafungia wenyeji bao la kuongoza dakika ya 22 na Stefan de Vrij akaisawazishia Uholanzi dakika ya 55 kabla ya Vaclav Pilar kuifungia Czech bao la ushindi dakika ya 90.
    Kikosi cha Czech kilikuwa: Cech, Kaderabek, Kadlec, Prochazka, Limbersky, Rosicky, Dockal, Darida, Krejci/Pilar dk66, Vacha/Kolar dk81 na Lafata/Vydra dk72.
    Uholanzi: Cillessen, Martins Indi, Veltman/Narsingh dk39, Janmaat, de Vrij, Blind, Wijnaldum, Sneijder, de Jong, van Persie na Depay.
    Majanga Uholanzi: Robin van Persie akiwa hamming macho yake baada ya Uholanzi kufungwa jana mjini Prague Super sub: Vaclav Pilar celebrates after his goal put Holland to the sword
    Super sub: Vaclav Pilar akishangilia baada ya kufunga bao la ushindi akitokea benchi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UHOLANZI YAPIGWA 2-1 KUFUZU EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top