• HABARI MPYA

        Saturday, September 13, 2014

        SIMBA SC 'ILIVYOTOZWA KODI' KIBABE NA TRA WA UGANDA JANA TAIFA

        Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga akipasua katikati ya mabeki wa timu ya Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) jana katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. URA ilishinda 1-0.
        Shaaban Kisiga 'Malone' aliendelea kung'ara Simba SC jana 

        Kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba akipasua katikati ya wachezaji wa URA 

        Winga wa Simba SC, Haroun Chanongo akiwatoka mabeki wa URA 

        Winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akimlamba chenga beki wa URA

        Amri Kiemba alicheza vizuri jana kabla ya kumpisha Paul Kiongera dakika ya 49

        Hawa ndiyo URA waliifunga Simba SC jana

        Kikosi cha Simba SC jana

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA SC 'ILIVYOTOZWA KODI' KIBABE NA TRA WA UGANDA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry