• HABARI MPYA

    Tuesday, September 09, 2014

    DANNY 'ARSENAL' WELBECK AITAKATISHA ENGLAND, APIGA ZOTE MBILI SWISI AKILALA 2-0 NYUMBANI

    MABAO mawili ya mshambuliaji mpya wa Arsenal, Danny Welbeck yameipa England ushindi wa 2-0 dhidi ya Uswisi ugenini katika mchezo wa kwanza wa kufuzu Euro 2016. 
    Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United, alifunga mabao hayo katika dakika za 59 na 90 na kumfanya kocha Roy Hodgson aondoke na furaha uwanjani.
    Vikosi vilikuwa; Usiwsi: Sommer, Lichsteiner, Djourou, von Bergen, Rodriguez, Behrami, Inler, Mehmedi/Drmic dk63), Xhaka/Dzemaili dk74, Shaqiri na Seferovic. 
    England: Hart, Stones, Cahill, Jones/Jagielka dk77, Baines, Wilshere/Milner dk73, Henderson, Delph, Sterling, Welbeck na Rooney/Lambert dk90.
    Mkali; Danny Welebeck akimtoka beki wa Uswisi kabla ya kufunga jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DANNY 'ARSENAL' WELBECK AITAKATISHA ENGLAND, APIGA ZOTE MBILI SWISI AKILALA 2-0 NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top