• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 10, 2009

  PRISONS ILIPOBANWA NA JKT RUVU DAR...

  Mshambuliaji wa timu ya Prisons ya Mbeya, Ramadhan Katamba (kushoto) akiwania mpira na Kessy Mapande wa JKT Ruvu wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PRISONS ILIPOBANWA NA JKT RUVU DAR... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top