• HABARI MPYA

    Monday, September 08, 2014

    MESSI ALIPA KISASI KWA RONALDO

    MRENO Cristiano Ronaldo alimbwaga Muargentina Lionel Messi katika tuzo ya Ballon d'Or mapema mwaka huu, lakini mchezaji huyo wa Barcelona amelipa kisasi.
    Akiwa amefunga mabao 93 katika uwezekano wa kufunga 100, Messi ameshika chat ya viwango vya wachezaji katika video ya gemu za FIFA 15, ambayo inatarajiwa kutolewa Uingereza Septemba 26.
    Ili kuleta mijadala mbela ya mashabiki wa soka, kampuni ya EA Sports imetoa video hiyo ya wachezaji bora 50 wa sasa.
    Bora duniani: EA Sports imempa namba moja nyota wa Barcelona, Lionel Messi katika video mpya ya gemu ya FIFA 15
    Wanted man: Barcelona are sure to prove popular on the new game given Messi's eye catching statistics
    Real thing: The Argentine star (right) has started the season in typically impressive form for his club
    Nyota wa Argentine (kulia) amueanza msimu mpya vizuri na klabu yake
    Second best: Real Madrid's Cristiano Ronaldo has been given a rating of 92 on FIFA 15
    Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameshika nafasi ya pili Dangerous: EA Sports rate Ronaldo's shooting ability and pace at 93 out of 100

    WACHEZAJI 15 BORA WA VIDEO YA GEMU YA FIFA 15 

    1. Lionel Messi 93
    2. Cristiano Ronaldo 92
    3. Arjen Robben 90
    4. Zlatan Ibrahimovic 90
    5. Manuel Neuer 90
    6. Andres Iniesta 89
    7. Luis Suarez 89
    8. Bastian Schweinsteiger 88
    9. Franck Ribery 88
    10. Eden Hazard 88 
    Messi ameshika namba moja akiwapiku nyota wa Real Madrid, Ronaldo (92) kwa mural moja katika mfumo wa kufunga. 
    Winga wa Bayern Munich na Uholanzi, Arjen Robben ameshika nafasi ya tatu kwa alama 90.
    Tathmini hiyo ambayo inatokana na kiwango cha uchezaji wa mchezaji kuanzia kwenye ligi hadi vikombe kwa siku 365 zilizopita.
    Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Zlatan Ibrahimovic na kipa wa Bayern Munich, Manuel Neuer wameshika nafasi ya nne na ya tano licha ya kulingana kwa pointi na Robben.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI ALIPA KISASI KWA RONALDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top