SIMBA SC WAKABIDHIWA HATI YA KIWANJA CHAO CHA BUNJU
Mdhamini wa Simba SC, Ramesh Patel (kulia) akipokea hati ya kiwanja cha klabu hiyo kilichopo eneo la Bunju mjini Dar es Salaam (ploti namba 226 Block 1) kutoka kwa Ofisa Msajili wa Hati, Mpoki Mwalufunda (kushoto). Anayeshuhudia kwa nyuma ni Msajili Msaidizi wa Hati, Apollo Laizer
0 comments:
Post a Comment