Sadio Mane akifikiri amefunga baada ya kumlamba chenga kipa Joel Coleman wa Huddersfield, lakini refa akasema Msenegali huyo alichezewa rafu na kukataa bao hilo. Liverpool ilishinda 2-0 Uwanja wa John Smith, mabao ya Marko Grujic na Alberto Moreno kwa penalti na ingeweza kushinda 3-0 kama Philippe Coutinho asingekosa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment