Nyota wa Leicester City, Riyad Mahrez akimtoka beki wa Celtic, Emilio Izaguirre katika mchezo wa Kombe la Kimataifa la Mabingwa leo Uwanja wa Parkhead mjini Glasgow, Scotland. Leicester ilishinda kwa penalti 6-5 baada ya sare ya 1-1 Riyad Mahrez akianza kuifungia Leicester kabla ya Eoghan O'Connell kuiswazishia Celtic. Katika penalti, Ciftci, Johansen, Allan, O'Connell, Christie waliifungia Celtic huku ya Forrest ikiokolewa na upande wa Leicester waliofunga ni Fuchs, Wasilewski, Drinkwater, Chilwell, Okazaki na Amartey PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment