Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Murutabose Mohamed 'Muruta' akiwa na jezi ya Mbeya City baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili akitokea Bujumbura City ya Bujumbura. Mchezaji huyo ameibukia akademi ya Lydia Ludic Bujumbura (LLB) na ameanza kuchezea timu za vijana za Burundi kuanzia U-17, U-20 na sasa U-23 akiwa tayari ameanza kuitwa timu ya wakubwa na amecheza mechi nne Int'hamba Murugamba
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment