• HABARI MPYA

    Sunday, July 24, 2016

    AZAM VETERANS YAUA 6-0 KOMBE LA FRESCO CHAMAZI

    Mshambuliaji wa Azam Veterans, Abdulkarim Amin 'Popat' akifumua shuti pembeni ya beki wa Mbagala Veterans katika mchezo wa Kombe la Fresco leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 6-0 mabao yake yakifungwa na Popat mawili, Mussa Lumbi mawili na mengine Salim Aziz na Huzu Kajembe
    Nassor Idrisa 'Father' wa Azam (kushoto) akitafuta maarifa ya kumtoka  beki wa Mbagala
    Winga wa Azam Veterans akimfunga tela beki wa Mbagala 
    Avdulkarim Amin 'Popat akishangilia baada ya kufunga kwa mara ya pili leo'
    Kikosi cha Azam Veterans leo
    Kikois cha Mbagala Veterans leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM VETERANS YAUA 6-0 KOMBE LA FRESCO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top