Kiungo Mfaransa, Paul Pogba anayetakiwa na Manchester United ya England, akiwa na wakala Mino Raiola (kushoto) wakiogelea mjini Miami, Marekani. Taarifa zinasema malipo ya Pauni Milioni 18.4 anayopaswa kupewa Raiola iwapo Pogba atauzwa ndiyo yanachelewesha dili hilo kukamilika, kutokana na Juventus kukataa kulipa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment