Winga Julian Green (kushoto) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia hat-trick Bayern Munich katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Inter Milan mjini Charlotte, North Carolina, Marekani katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa. Bao lingine la Bayern Munich lilifungwa na Franck Ribery, wakati Mauro Icardi aliifungia Inter Milan bao la kufutia machozi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment