Mchezaji wa Arsenal, Alex Iwobi akimiliki mpira mbele ya Deme N'Diaye wa Lens ya Ligue 2 Ufaransa katika mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa Stade Bollaert-Delelis. Timu hizo zilitoka sare ta 1-1, Lens wakitangulia kwa bao la Mathias Autret dakika ya 38, kabla ya Alex Oxlade-Chamberlain kuisawazishia The Gunners dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment