Kiungo wa Manchester City, Fernandinho akimfukuzia winga wa Bayern Munich, Franck Ribery katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya usiku wa kuamkia leo Uwanjja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani. Ikicheza chini ya kocha mpya, Carlo Ancelotti kwa mara ya kwanza, Bayern iliifunga 1-0 Man City iliyocheza kwa mara ya kwanza pia chini ya kocha mpya, Pep Guardiola, bao pekee la Erdal Ozturk dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Report: Eagles Icon Jason Kelce to Join ESPN's MNF Pregame Show After NFL
Retirement
-
Former Philadelphia Eagles center Jason Kelce is signing with ESPN and will
feature on the network's Monday Night Countdown, according to The
Athletic's…
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment