Kiungo wa mabingwa wa England, Leicester City, Danny Drinkwater akiumiliki mpira wa juu kwa ustadi katikati ya wachezaji wa Oxford United usiku wa Jumaanne Uwanja wa Kassam katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya. Leicester ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Demarai Gray dakika ya 28, ambalo lilikuwa la kusawazisha baada ya Chris Maguire kutangulia kuifungia Oxford na Jeffrey Schlupp dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Messi to receive honorary doctorate ahead of Argentina farewell
-
Lionel Messi is set to receive an honorary doctorate from the University of
Buenos Aires (UBA) in recognition of his illustrious football career and
cont...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment