Baadhi ya wachezaji wa iliyokuwa timu ya Sigara FC ya Chang’ombe, Temeke, Dar Salaam kutoka kulia Abdul Maneno, Abubakar Kombo, Ali Shah, Athumani Chama na wakiwa Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam kabla ya moja ya mechi zao za Ligi Kuu ya Safari Lager (sasa Vodacom) mwaka 1996
0 comments:
Post a Comment