Kocha wa Yanga, Tambwe Leya (kushoto), raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akimkabidhi Mwenyekiti wa klabu hiyo, Mangara Tarbu (wote sasa marehemu) Kombe la ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati walilolitwaa mwaka 1975 visiwani Zanzibar kwa kuwafunga watani, Simba SC 2-0 kwenye fainali Uwanja wa Amaan. Mzee Mangara anapewa heshima ya Mwenyekiti bora kuwahi kutokea Yanga, kutokana na namna alivyoifanyia mambo makubwa klabu.
Messi to receive honorary doctorate ahead of Argentina farewell
-
Lionel Messi is set to receive an honorary doctorate from the University of
Buenos Aires (UBA) in recognition of his illustrious football career and
cont...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment