Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba akishangilia baada ya kuifungia kombaini ya nyota wa Ligi ya Marekani, MLS All Stars bao la kusawazisha dhidi ya Arsenal asubuhi ya leo Uwanja wa Avaya, San Jose Earthquakes. Arsenal ilishinda 2-1 mabao ya Joel Campbell kwa penalti na Chuba Akpom aliyemalizia pasi ya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment