Mshambauliaji wa Manchester United, Memphis Depay akinyoosha mguu kuufikia mpira kwenye himaya ya beki wa Borussia Dortmund, Sokratis Papastathopoulos katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Shanghai, China. Dortmund walishinda 4-1, mabao yao yakifungwa na Castro mawili dakika ya 19 na 86,Pierre-Emerick Aubameyang kwa penalti dakika ya 36 na Ousmane Dembele dakika ya 57, wakati la United lilifungwa na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment