• HABARI MPYA

    Tuesday, September 09, 2014

    LICHA YA KUTUA ARSENAL, WELBECK BADO ANATESEA 'VIWALO' VYA MAN UNITED

    KIKOSI cha England kimewasili nchini England leo mchana kufuatia kuanza na ushindi wa 2-0 katika mechi za kufuzu Euro 2016 dhidi ya Uswisi.
    Mchezaji mpya wa Arsenal, Danny Welbeck aliyefunga mabao tote hayo kwenye ushindi huo aliwasili akitabasamu, lakini mashabiki wa Gunners wanaweza kuwa walisononeshwa naye kumuona amebeba kibegi cha vifaa vidogo vidogo cha Manchester United.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amesajiliwa na Arsenal kwa Pauni Milioni 16 katika siku ya mwisho ya kufunga pazia la usajili kutoka Man United, lakini bado hajapatiwa begi la Arsenal. 
    Begi tatizo: Danny Welbeck (kushoto) akiwa ameshika kibegi cha vifaa vidogo vidogo cha Manchester United huku akitaniana na Phil Jones
    Merchandise: Arsenal's £16million signing is seemingly yet to get his hands on any Arsenal kit ahead of his new career with the Gunners 
    Touchdown: The England squad returned home after a winning start to their Euro 2016 qualifying campain on Monday night
    Gunners: Arsenal fans will be hoping their new signing will soon be carrying something similar to this Gunners sports bag
    Gunners: Hili ndilo begi la Arsenal analopaswa kubeba Welbeck kwa sasa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LICHA YA KUTUA ARSENAL, WELBECK BADO ANATESEA 'VIWALO' VYA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top