• HABARI MPYA

    Sunday, December 14, 2025

    SIMBA NA YANGA ZOTE KUSHIRIKI KOMBE LA MAPINDUZI 2026


    VIGOGO, Simba na Yanga wote wametihibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu ikishirikisha timu nane.
    Timu nyingine zinazotarajiwa kushiriki michuano hiyo ni mabingwa watetezi, Mlandege FC waliotwaa taji jilo mwaka 2024, KVZ, Fufuni FC, Azam FC, Singida Black Stars na URA ya Uganda.
    Katika uzinduzi wa michuano hiyo jana, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Riziki Pembe Juma pamoja na kuitambulisha Kamati ya Kombe la Mapinduzi 2026 pia alitaja zawadi za washindi na wachezaji bora.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA YANGA ZOTE KUSHIRIKI KOMBE LA MAPINDUZI 2026 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top