AZAM FC NA ASHANTI UNITED KATIKA PICHA JANA CHAMAZI
Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimlamba chenga mchezaji wa Ashanti United katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
Kiungo wa Azam, Ramadhani Singano 'Messi' (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Ashanti
Mshambuliaji wa Azam FC, Ame Ali akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Ashanti
Kiungo wa Azam, Frank Domayo akipasua katikati ya wachezaji wa Ashanti
Kikosi cha Azam FC kilichoifunga Ashanti United 2-0 jana
Benchi la Ufundi la Azam FC linaloundwa na makocha kutoka Hispania
Benue poised to curb outbreak of coronavirus
-
From Scholastica Hir, Makurdi The Benue State Government has said it is
prepared to curtail any outbreak of coronavirus in the state. The
Commissioner fo...
0 comments:
Post a Comment