• HABARI MPYA

    Friday, January 04, 2013

    POLISI MORO YAIFUNGA KVZ KOMBE LA MAPINDUZI NETIBOLI

    Mchezaji wa Polisi Moro, Mwanaenzi Hamdani (kushoto) akigombea mpira na Mwajuma Mgeni wa KVZ ya Zanzibar katika mchezo wa Netiboli wa Kombe la Mapinduzi jioni hii kwenye Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar. Polisi Moro ilishinda.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: POLISI MORO YAIFUNGA KVZ KOMBE LA MAPINDUZI NETIBOLI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top