• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 31, 2013

  HAFLA YA KUITATHMINI LIGI KUU YA VODACOM ILIVYOFANA LEO

  Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto akizungumza na katika hafla maalum ya kuchangia maoni kuhusu Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyofanyika kwenye hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam leo.

  Jimama la Kinigeria lilikuwepo

  Kutoka kulia Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kamati ya Ligi Kuu, Silas Mwakibinga, Saad Kwemba wa TFF na Katibu wa TFF, Angetile Osiah

  Wahariri

  Salum Mwalim na Kingamkono

  Mwenyekiti wa Kamati ya Ligi Kuu, Wallace Karia
  Angetile
  Katibu wa TFF, Angetile akizungumza na Wahariri

  Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania, Kevin Twisa akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya Habari katika hafla maalum ya kuchangia maoni kuhusu Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyofanyika kwenye hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam leo.

  Twisa na Pinto

  Ngeta na Jimama la Abuja 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: HAFLA YA KUITATHMINI LIGI KUU YA VODACOM ILIVYOFANA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top