• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 27, 2013

  YANGA SC WAZEE WA UTURUKI WALIVYOWAKANDAMIZA MAAFANDE WA MAGEREZA LEO TAIFA


  Beki wa Prisons, Jumanne Elfadhil akijaribu kumzuia winga wa Yanga, Simon Msuva

  Msuva akiruka daluga la Elfadhil

  Msuva akiwatoka mabeki wa Prisons

  Msuva akiwachambua mabeki wa Prisons

  JJerry Tegete akimtoka mchezaji wa Prisons, Sino Augustino katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya TZ Prisons Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii. Yanga ilishinda 3-1.

  Tegete na Sino

  Sino amemgonga kwenye goti Tegete anayeugulia maumivu

  Sino anajiandaa kumiliki mpira Tegete akienda chini huku akiugulia maumivu

  Tegete akishangilia moja ya mabao yake na Msuva

  Tegete na msuva

  Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Tegete kulia

  Hatari kwenye lango la Prisons

  Mpira uko nyavuni kulia, kipa wa Yanga Ally Mustafa 'Barthez' akiwa ameduwaa baada ya Prisons kupata bao lao

  Kavumbangu akifumua shuti

  Kavumbangu akimtoka Elfadhil

  Kavumbangu akimiliki mpira mbele ya mabeki wa Prisons

  Henry Mwalugala akiwa amelala kuondosha mpira miguuni mwa Nurdin Bakari
  Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Ernie Brandts akisalimiana na kocha wa Prisons, Jumanne Challe kabla ya mchezo baina ya timu hizo jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1.

  Kikosi cha Prisons kilichoanza leo

  Kikosi cha Yanga kilichoanza leo

  Didier Kavumbangu akimtoka beki wa Prisons Jumanne Elfadhil katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii. Yanga ilishinda 3-1.

  Kavu amepiga krosi baada ya kupata mwanya
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: YANGA SC WAZEE WA UTURUKI WALIVYOWAKANDAMIZA MAAFANDE WA MAGEREZA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top