• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 27, 2013

  FRANK DOMAYO TAABANI, AUGUA GHAFLA NA KUENGULIWA KIKOSINI YANGA LEO

  Kiungo wa Yanga, Frank Domayo akiwa amelala katika zahanati ya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mida hii, baada ya kupatwa na Malaria ya ghafla. Domayo ilikuwa aanze mechi ya leo, lakini kutokana na kuugua huko ghafla, sasa nafasi yake ataanza Nurdin Bakari.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: FRANK DOMAYO TAABANI, AUGUA GHAFLA NA KUENGULIWA KIKOSINI YANGA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top