• HABARI MPYA

    Thursday, January 17, 2013

    VIBONDE WA LIGI YA SAUZI WATUA LEO KUIVAA YANGA JUMAMOSI

    Wapinzani wa Yanga katika mchezo wa kirafiki Jumamosi, Black Leopard inayopigania kuepuka kushuka Daraja katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini, wanatarajiwa kuwasili leo tayari kwa mchezo huo. Vibonde hao wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini kikosi wanaye mchezaji mmoja tu ambaye labda Watanzania watakuwa wanamjua, kipa Posnet Omony wa Uganda. Hiyo itakuwa mechi ya kwanza ya Yanga kujipima nguvu baada ya ziara ya Uturuki.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: VIBONDE WA LIGI YA SAUZI WATUA LEO KUIVAA YANGA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top