• HABARI MPYA

    Thursday, January 17, 2013

    KATIKA MECHI 15 TANGU MWAKA JANA, BLACK LEOPARD IMESHINDA MBILI TU


    Na Mahmoud Zubeiry
    KESHOKUTWA Yanga itacheza mchezo wa kwanza wa kujipima nguvu tangu ierejee kutoka Uturuki ilipoweka kambi ya gharama kubwa ya mafunzo na Black Leopard ya Afrika Kusini kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Katika mechi 15 zilizopita za klabu ya Black Leopard ya Afrika Kusini, imemudu kushinda mechi mbili tu, nyingine zote imefungwa na kutoka sare. Tafakari hii timu ni kibonde kiasi gani? Tazama mechi zake tangu Septemba 2, mwaka jana. Je, hiki ni kipimo kwa Yanga iliyotoka Ulaya kweli?

    REKODI YA BLACK LEOPARD TANGU SEPTEMBA
    Sept 2/2012    PSL  
    Black Leopards 0 – 0 Chippa United
    Sept 19/2012  PSL  
    Kaizer Chiefs 2 – 1 Black Leopards
    Sept 25/2012  PSL  
    Black Leopards 2 – 2 Maritzburg United
    Sept 29/2012  PSL  
    Golden Arrows 0 – 0 Black Leopards
    Okt 7/10/12    PSL  
    Black Leopards 3 – 3 SuperSport United
    Okt 20/2012 LEC
    Black Leopards 0 – 2 Orlando Pirates
    Okt 27/2012    PSL  
    Moroka Swallows 2 – 2 Black Leopards
    Nov 7/2012 PSL  
    Black Leopards 0 – 1 Platinum Stars
    Nov 11/2012   PSL  
    Ajax Cape Town  0 – 1 Black Leopards
    Nov 21/2012   PSL  
    Black Leopards 0 – 4 Orlando Pirates
    Nov 24/2012   PSL  
    Pretoria Unive…1 – 2 Black Leopards
    Des 5/2012 PSL  
    Black Leopards 1 – 1 AmaZulu    View
    Des 9/2012 PSL  
    Mamelodi Sundowns  1 – 0 Black Leopards
    Des 15/2012    PSL  
    Black Leopards 1 – 2 Free State Stars
    Des  19/2012   PSL  
    Bloemfontein C 1 – 1 Black Leopards
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KATIKA MECHI 15 TANGU MWAKA JANA, BLACK LEOPARD IMESHINDA MBILI TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top