• HABARI MPYA

    Friday, January 18, 2013

    MANJI NA WENGINE WAREJESHA FOMU TFF

    Mmiliki wa African Lyon, Rahim Kangenzi ‘Zamunda’ (katikati) akimrudhishia fomu ya kugombea Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Mwenyekiti wa Yanga SC, ALhaj Yussuf Manji (kulia) ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ilala, Dar es Salaam mida hii. Kulia anayepokea fomu hiyo ni Ofisa wa TFF, Jonathan Aloyce Kakwaya. 

    Manji akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Deo Lyatto 

    Manji akizungumza na Ofisa wa TFF, Saad Kawemba

    Manji akizungumza na mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Kitwana Manara 'Popat'

    Manji akifurahia na Popat

    Mwenyekiti wa Moro United, Rodgers Peter akirejesha fomu ya kugombea Ujumbe wa Bodi ya Ligi Kuu

    Samuel Nyalla akirejesha fomu ya kugombea Ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF Kanda ya Mwanza na Mara

    Francis Ndulane akirejesha fomu ya kugombea Ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Kanda ya Lindi na Mtwara

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MANJI NA WENGINE WAREJESHA FOMU TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top