• HABARI MPYA

    Friday, January 18, 2013

    ASIYERUDISHA FOMU TFF LEO IMEKULA KWAKE

    Leo ndiyo mwisho wa wagombea wanaotaka nafasi za uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kurudisha fomu. Wagombea wanatarajiwa kuanza kumiminika kwenye ofisi za TFF, zilizopo Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 asubuhi ya leo hadi saa 10:00 jioni zoezi hilo litakapofungwa. Pichani ni mmoja wa wagombea wanaotarajiwa kurejesha fomu leo, Athumani Jumanne Nyamlani anayewania Urais, nafasi inayoachwa wazi na rais wa sasa, Leodegar Chillah Tenga.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ASIYERUDISHA FOMU TFF LEO IMEKULA KWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top