• HABARI MPYA

    Friday, September 07, 2018

    MEMPHIS DEPAY AFUNGA MAWILI UHOLANZI YAICHAPA PERU 2-1

    Memphis Depay akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi mabao mawili dakika za 60 na 83 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Peru kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam. Bao la Peru limefungwa na Pedro Aquino dakika ya 13 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MEMPHIS DEPAY AFUNGA MAWILI UHOLANZI YAICHAPA PERU 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top