• HABARI MPYA

    Saturday, September 08, 2018

    BILA MESSI ARGENTINA YAIFUMUA GUATAMELA 3-0 KIRAFIKI MAREKANI

    Mshambuliaji wa Fiorentina, Giovanni Simeone akiwapangua wachezaji wa Guatamela kabla ya kuifungia Argentina dakika ya 44 katika ushindi wa 3-0 kwenye mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Makumbusho mjini Los Angeles, California. Mabao mengine ya Argentina iliyomkosa Nahodha wake, Lionel Messi yamefungwa na Gonzalo Martinez dakika ya 27 kwa penalti na Giovani Lo Celso dakika ya 35 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BILA MESSI ARGENTINA YAIFUMUA GUATAMELA 3-0 KIRAFIKI MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top