Wachezaji wa Ureno wakishangilia baada ya mwenzao, Ricardo Quaresma kufunga penalti ya mwisho na kuiwezesha timu hiyo kushinda kwa penalti 5-3 mchezo wa Robo Fainali ya Euro 2016 dhidi ya Poland usiku huu Uwanja wa Stade Velodrome mjini Marseille, Ufaransa. Robert Lewandowski alitangulia kuifungia Poland sekunde ya 100, kabla ya Renato Sanches kuisawazishia Ureno dakika ya 33. Wengine waliofunga penalti za Ureno ni Cristiano Ronaldo, Renato Sanches, Joao Moutinho na Luis Nani, wakati za Poland zilifungwa na Robert Lewandowski, Arek Milik na Kamil Glik, huku ya Jakub Blaszczykowski ikichezwa na kipa Rui Patricio. Ureno sasa itacheza na mshindi kati ya Ubelgiji na Wales katika Nusu Fainali Julai 6 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment