Kikosi cha Bandari Mtwara kikiwa Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam kabla ya mechi ya Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1993 dhidi ya Simba SC. Bandari haikuwahi kutwaa ubingwa nchini, lakini itaendelea kukumbukwa kwa namna ambavyo ilikuwa inaisumbua Simba kila timu hizo zilipokutana, iwe Dar es Salaam au Mtwara
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment