// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MATAJIRI KWELI WA MAN CITY WALIVYOSHEREHEKEA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MATAJIRI KWELI WA MAN CITY WALIVYOSHEREHEKEA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, May 13, 2014

    MATAJIRI KWELI WA MAN CITY WALIVYOSHEREHEKEA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND

    WAKATI wachezaji wa Manchester City walishereheka kwa mbwembwe taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya England, wamiliki wa timu hiyo walifanya sherehe ndogo tulivu kufurahia ubingwa wa pili wa ligi hiyo ndani ya misimu mitatu. 
    Wachezaji waliangusha pati Uwanja wa Etihad na baadaye waakenda kujirusha Town Hall na  nyota wa Oasis, Noel na Liam Gallagher na miga gita wa Smiths, Johnny Marr.
    Lakini Sheikh Mansour alisherehekea ubingwa huo wa City kwa kukata keki maalum iliyotengenezwa kitaalamu katika muundo wa Uwanja na taji hilo la ubingwa wa Ligi Kuu.
    Wanakata kepi yao ya ubingwa: Sheikh Mohammed akisherehekea ubingwa wa Man City kiaina yake
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MATAJIRI KWELI WA MAN CITY WALIVYOSHEREHEKEA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top