MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Luis Suarez aliyemaliza Ligi Kuu ya England na mabao 31 ndiye mpachika mabao bora zaidi katika Ligi zote kubwa Ulaya.
Kwa mujibu wa tathmini iliyofanywa na Bloomberg Sports kwa kila mchezaji na kila mchezo kutoka Ligi za England, Ufaransa, Ujerumani, Italia na Hispania Suarez ameongoza katika orodha ya wachezaji 50 bora mwaka 2014 akiwapiku Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Matawi ya juu: Luis Suarez amekuwa mshambuliaji nambari moja katika orodha ya wapachika mabao 50 bora ligi za Ulaya
WAPACHIKA MABAO 10 BORA ULAYA...
1 Luis Suarez (Liverpool, 86.02)
2 Lionel Messi (Barcelona, 85.43)
3 Zlatan Ibrahimovic (PSG, 84.91)
4 Cristiano Ronaldo (Real Madrid, 84.59)
5 Kevin Strootman (Roma, 81.86)
6 Diego Costa (Atletico Madrid, 81.68)
7 Mehdi Benatia (Roma, 81.30)
8 Robert Lewandowski (Dortmund, 81.21)
9 Tiago (Atletico Madrid, 80.79)
10 David Silva (Manchester City, 80.79)
2 Lionel Messi (Barcelona, 85.43)
3 Zlatan Ibrahimovic (PSG, 84.91)
4 Cristiano Ronaldo (Real Madrid, 84.59)
5 Kevin Strootman (Roma, 81.86)
6 Diego Costa (Atletico Madrid, 81.68)
7 Mehdi Benatia (Roma, 81.30)
8 Robert Lewandowski (Dortmund, 81.21)
9 Tiago (Atletico Madrid, 80.79)
10 David Silva (Manchester City, 80.79)
0 comments:
Post a Comment