KOCHA Manuel Pellegrini ameshinda vita ya kwanza dhidi ya Louis van Gaal kwa kumnasa beki wa Arsenal, Bacary Sagna.
Beki huyo wa pembeni wa Ufaransa amekubali Mkataba wa miaka mitatu kupiga kazi Manchester City pamoja na posh nzuri na mshahara wa Pauni 150,000 kwa wiki na kuichagua timu hiyo badala ya majirani zao, United.
Sagna atasafiri kwenda Manchester Jumatatu kukamilisha taratibu za usajili wa kuhamia Uwanja wa Etihad.
0 comments:
Post a Comment