• HABARI MPYA

    Friday, May 23, 2014

    MAYWEATHER ANUNUA GARI MPYA KALI BUGATTI VEYRON LA BEI CHAFU

    HAIJACHUKUA muda mredu tangu Floyd 'Money' Mayweather avune mamilioni kutokana na bambino lake na Marcos Maidana kuanza matumizi ya fedha hizo baada ya kununua gari la tatu aina ya Bugatti Veyron.
    Bondia huyo ambaye hajawahi kupoteza pambano, aliingiza kiasi cha Pauni Milioni 19 baada ya kuunganisha mataji ya uzito wa Welter kwa kumpiga Muargentina huyo, wastani wa Paini Milioni 1.5 kwa raundi.
    Licha ya kununua gari mvili kabla ya bambino lake hilo la mwisho Las Vegas, Mayweather amesema ametoa Pauni Milioni 1.8 kununua mkoko mwingine wa hatari. 
    Kitu hicho: Floyd Mayweather akionyesha gari lake jipya kabisa aina ya Bugatti Veyron, lenye thamani ya Pauni Milioni 1.8
    Pricey: The supercar is worth £1.8million, and he already had two Bugattis
    Gari kali lenye thamani ya Pauni Milioni 1.8 aina ya Bugattis
    Not bad... Mayweather shows off his other two Bugattis, which he had before the Maidana fight
    Mambo ya fedha... Mayweather akionyesha Bugattis zake nyingine mbili, alizokuwa nazo kabla ya pambano na Maidana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAYWEATHER ANUNUA GARI MPYA KALI BUGATTI VEYRON LA BEI CHAFU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top