// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DAVID LUIZ KUTUA PSG KWA DAU LA REKODI DUNIA NZIMA HAIJAWAHI KUTOKEA KWA BEKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DAVID LUIZ KUTUA PSG KWA DAU LA REKODI DUNIA NZIMA HAIJAWAHI KUTOKEA KWA BEKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, May 23, 2014

    DAVID LUIZ KUTUA PSG KWA DAU LA REKODI DUNIA NZIMA HAIJAWAHI KUTOKEA KWA BEKI

    BEKI David Luiz yuko njiani kujiunga na Paris St Germain ndani ya saa 48 zijazo katika uhamisho ambao utaigharimu klabu hiyo kibopa Ufaransa kiasi cha Pauni Milioni 50.
    Klabu hizo mbili zimekwishaafikiana juu ya vipengele muhimu, lakini uhamisho wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 wa Chelsea utakuwa usajili wa bei mbaya zaidi kwa beki duniani ukipiku rekodi za usajili wa mabeki wengie waliosajiliwa awali PSG, Marquinhos na Thiago Silva.
    Mara baada ya kukamilishiana na kila kitu na klabu ya Stamford Bridge, PSG itaomba ruhusa kwa kocha wa Brazil Luiz Felipe Scolari kwenda kwenye kambi yao ya maandalizi ya Kombe la Dunia kumfanyia vipimo vya afya kabla ya kumsainisha.
    Kwaheri: David Luiz akiwapungia mono mashabiki katika tukio la Kombe la Dunia mjini Sao Paulo, Brazil Jumanne.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DAVID LUIZ KUTUA PSG KWA DAU LA REKODI DUNIA NZIMA HAIJAWAHI KUTOKEA KWA BEKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top