KINDA wa Manchester United, Adnan Januzaj amejumuishwa kwenye kikosi cha Ubelgiji kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia.
Dogo huyo wa umri wa miaka 19 amekuwa na mwanzo mzuri Old Trafford na mwezi uliopita aliweka wazi atachezea nchi aliyozaliwa.
Kocha wa Ubelgoji, Marc Wilmots ametaja nyota wake wa kwenda kuwania taji Brazil, akimjumuisha Januzaj.
The boys for Brazil: Belgium have named their squad for the finals
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/worldcup2014/article-2627107/Adnan-Januzaj-included-Belgium-World-Cup-squad-one-12-Premier-League-players.html#ixzz31bMQvmvz
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
0 comments:
Post a Comment