![]() |
| Winga wa Tanzania, Iddi Suleiman akimtoka mchezaji wa Nigeria, Yahya Mussa |
![]() |
| Kipa wa Nigeria, Enahold Joshua akiwa amedaka mbele ya kiungo wa Tanzania, Gadiel Michael, huku mabeki wake wakiwa tayari kumsaidia |
![]() |
| Mshambuliaji wa Tanzania, Juma Luizio kushoto akipambana na beki wa Nigeria Muhamed Musa |
| Mshambuliaji wa Tanzania, Saad Kipanga akiwania mpira dhidi ya kiungo wa Nigeria, Omego Prince Izuchukwu |
![]() |
| Kikosi cha U20 ya Nigeria |
![]() |
| Kikosi cha Tanzania jana |








.png)
0 comments:
Post a Comment