// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SAMATTA, ULIMWENGU WANG'ARA NA MAZEMBE YAO, WAIFUMUA 1-0 AS VITA LIGI KUU DRC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SAMATTA, ULIMWENGU WANG'ARA NA MAZEMBE YAO, WAIFUMUA 1-0 AS VITA LIGI KUU DRC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, May 12, 2014

    SAMATTA, ULIMWENGU WANG'ARA NA MAZEMBE YAO, WAIFUMUA 1-0 AS VITA LIGI KUU DRC

    WASHAMBULIAJI wa wawili wa Tanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu jana wameiongoza vyema klabu yao kushinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita katika mchezo wa Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
    Kwa ushindi huo kwenye Uwanja wa Tata Raphael , Mazembe imeendelea ubabe wake wa Vita baada ya awali kuifunga 4-1 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza mjini Kinshasa. 
    Wa pili na wa tatu kushoto waliosimama ni Samatta na Ulimwengu katika kikosi cha TP Mazembe

    Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee Gladson Awako dakika ya 35  na sawa Mazembe inajiweka mguu sawa kuelekea taji la DRC.
    Ikumbukwe Mazembe na AS Vita pia zimepangwa kundi moja katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA, ULIMWENGU WANG'ARA NA MAZEMBE YAO, WAIFUMUA 1-0 AS VITA LIGI KUU DRC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top