• HABARI MPYA

    Wednesday, January 16, 2013

    WAHARIRI, WAANDISHI WAPIGWA MSASA KANUNI ZA UCHAGUZI

    Wahariri na Waandishi wa Habari zaidi ya 40 wameshiriki kwenye semina kuhusu Kanuni za Uchaguzi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyofanyika leo (Januari 16 mwaka huu).
    Wawezeshaji katika semina hiyo iliyofanyika ofisi za TFF walikuwa Kamati ya Uchaguzi ya TFF iliyoongozwa na Mwenyekiti wake Deogratias Lyato na Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah. Pichani anayezungumza ni Lyato katikati, kushoto Osiah na kulia Hamidu Mbwezeleni, Makamu Mwenyekiti Kamati ya Uchaguzi ya TFF.

    Washiriki wakisikiliza kwa makini

    Washiriki

    Washiriki

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: WAHARIRI, WAANDISHI WAPIGWA MSASA KANUNI ZA UCHAGUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top