• HABARI MPYA

    Wednesday, January 16, 2013

    MALINZI AREJESHA FOMU YA KUOMBA URAIS TFF, ALICHUKUA KWENYE MTANDAO

    Mwenyekiti wa Chama cha Soka Kagera (KRFA), Jamal Emil Malinzi akirejesha fomu ya kugombea urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ofisi za shirikisho hilo, Ilala, Dar es Salaam mida hii, kuelekea uchaguzi utakaofanyika Februari 24, mwaka huu mjini Dar es Salaam. Anayepokea fomu hiyo ambayo Malinzi alichukua kwenye tovuti ya TFF na kujaza kisha kuilipia katika benki ya CRDB kushoto ni Ofisa wa TFF, Jonathan Aloyce Kakwaya.   
    Anashuka kwenye gari

    Anaanza kuekelea ofisi za TFF
    Anajiorodhesha
    Risiti yake ya benki
      

    Anazungumza na Waandishi wa Habari

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MALINZI AREJESHA FOMU YA KUOMBA URAIS TFF, ALICHUKUA KWENYE MTANDAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top