• HABARI MPYA

  Sunday, September 09, 2018

  REFA AKATAA BAO LA ENGLAND YACHAPWA 2-1 NA HISPANIA

  Danny Welbeck akiifungia England bao dakika za mwishoni ambalo hata hivyo lilikataliwa na marefa akidaiwa kumchezea rafu kipa David de Gea wa Hispania katika mchezo wa kirafiki usiku wa leo Uwanja wa Wembley mjini London. Hispania imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Saul Niguez dakika ya 13 na Rodrigo dakika ya 32, baada ya Marcus Rashford kutangulia kuifungia England dakika ya 11 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REFA AKATAA BAO LA ENGLAND YACHAPWA 2-1 NA HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top